Vita ya Fiston Mayele, Henock Inonga kuelekea Derby ya Kariakoo
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-04-15
Просмотров: 34647
VITA YA INONGA vs MAYELE: Tunakumbushana tu tena sio kwa ubaya na hapa inatazamwa ‘vita’ ya wachezaji wawili raia wa DR Congo, beki wa Simba SC, Henock Inonga na mshambuliaji wa Yanga SC, Fiston Mayele ambao kesho Jumapili kwenye #DerbyYaKariakoo huenda ‘wakamenyana’ haswa kulinda heshma za timu zao.
#KariakooDerby #WataniWaJadi #NiSualaLaMudaTu #VinaMudaBasi #SimbaVsYanga #SimbaYanga #SimbaSC #YangaSC #SisiNiSoka #AzamTVMaxApp #AzamSportsUpdates #10DaimaDamdam
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: