Sauti Sol - Extravaganza ft Bensoul, Nviiri the Storyteller, Crystal Asige and Kaskazini
Автор: Sauti Sol
Загружено: Дата премьеры: 28 мая 2019 г.
Просмотров: 13 123 272 просмотра
Sol Generation presents EXTRAVAGANZA featuring Bensoul, Nviiri the Storyteller, Crystal Asige & Kaskazini. SKIZA *811*91#
Written and Performed by: Sauti Sol, Bensoul, Nviiri the Storyteller, Crystal Asige & Kaskazini
Composed & Arranged: Sauti Sol
Produced by: Sauti Sol & Mboks
Mixed and mastered by: Mboks & Fancy Fingers
Additional Background vocals: Okello Max
Bass Guitar: Yvan Kwizera
Recorded at Snowball Industries
Engineered by Trevor Magak
Directed by Mbithi Masya
Assistant director: Michael Muraya
Cinematography: Dru Mungai
Edit and DIT: Raymond Otieno
Color Grading: Nic Apostoli
Color Grade Post House: Africa Post Office
VFX by: KeyFrame KE
Styling by: Brian Babu
Styling Assistants: Ian Aketch, Raphael Mutua, Nessy Lee
Eyewear & accessories from Wardrobe Banter
Wardrobe by SAO International & Bolo Bespoke
Executive Production: Sol Generation
#SautiSol #Extravaganza #SolGeneration
EXTRAVAGANZA LYRICS
INTRO
(Rooster crows)
HOOK: SAUTI SOL
Ayee rhumba imetamba
Sauti Sol in a di area kumechacha
Karibuni kwenye Extravaganza
Bensoul alipofika alifunika eeeh
VERSE 1: BENSOUL
Wakaja na madrama, cinema zetu ni telenovela
Wakasunda mizinga, hawakujua si tuko mavela
Wakaita polisi, kumbe polisi pia ni shabiki
Waficha msosi, wakatupata na dishi meza
HOOK: SAUTI SOL
Ayee rhumba imetamba
Sauti Sol in a di area kumechacha
Karibuni kwenye Extravaganza
Na Nviiri alipofika alifunika eeeh
VERSE TWO: NVIIRI THE STORYTELLER
Walifunga milango, wakatupata tuko ndani nao
Wakaita makanjo, kumbe ni sisi huwalipa salo (wowowo)
Wakazima mitambo, shabika wakabaki kwenye dance floor
Na iwe funzo kwao, tunaongoza wanafuata nyayo
HOOK: SAUTI SOL
Ayee rhumba imetamba
Sauti Sol in a di area kumechacha
Karibuni kwenye Extravaganza
Na Crystal alipofika alifunika eeeh
VERSE 3: CRYSTAL
Wakaja na umati, wakageuka kuwa wafuasi
Wakaja na majini, wakapata tushazama kwa dini
Nywele za kifarasi, lakini si ni moto ya makasi
Risasi mwendo kasi, dandieni musiwachwe na basi
HOOK: SAUTI SOL
Ayee rhumba imetamba
Sauti Sol in a di area kumechacha
Karibuni kwenye Extravaganza
Kaskazini walipofika walifunika eeeh
VERSE 4: KASKAZINI
Wakaenda kusini, wakajipata wako kaskazini
Wakaja na makiki, lakini si tukaja na muziki
Wowowo yeyeye hata wazime taa tutazidi kuparty
Wowowo yeyeye hizi vitu hazitakangi utiaji
Na wakiapisha, tunaapisha
Na wakifunua, tunafunika
Na wakianika, tunaanua
Na wakisafisha, tunachafua
BRIDGE
Ayee rhumba imetamba (mama yoyoyo)
Sauti Sol in a di area kumechacha (kila corner yoyoyo)
Karibuni kwenye Extravaganza x2
Ayee rhumba imetamba
Sauti Sol in a di area kumechacha
Karibuni kwenye Extravaganza x2
OUTRO
Why you looking for trouble (trouble) (trouble)
Hapana rusha mawe kwa police station
Kabla uwashe kivela cheki situation
Hapana shusha bendera kwa chifu
Why you looking for trouble (trouble) (trouble)
Bibi ya wenyewe is a no go zone
Kabla ukute vitu piga protection
Nairobi mwizi utageuzwa jivu
Why you looking for trouble (trouble) (trouble)
Hapana rusha mawe kwa police station
Kabla uwashe kivela cheki situation
Hapana shusha bendera kwa chifu
Why you looking for trouble (trouble) (trouble)
Bibi ya wenyewe is a no go zone
Kabla ukute vitu piga protection
Nairobi mwizi utageuzwa jivu

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: