Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

UCHUNGUZI WA AJALI YA HELIKOPTA ILIYOUA WATU WATANO WAANZA KILIMANJARO

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2025-12-25

Просмотров: 2517

Описание:

Moshi. Wataalamu kutoka mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA) na Kitengo maalumu cha uchunguzi wa ajali za ndege (AAI) wameweka kambi katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro, eneo la Barafu, kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo cha ajali ya helikopta ya kampuni ya uokoaji ya Kilimedair, iliyosababisha vifo vya watu watano.

Akizungumza leo Desemba 25,2025,mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, Kamishna wa uhifadhi, hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa) Musa Kuji amesema chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana na kwamba mamlaka husika za TCAA na AAI wako katika eneo la tukio wanaendelea na uchunguzi, ili kubaini chanzo na mazingira ya ajali hiyo.

Kamishna Kuji amewataja waliofariki dunia kuwa ni David Plos (30) na Anna Plosova (30) ambao ni watalii na raia wa Jamhuri ya Czech.

Wengine ni Costantin Mazonde (42) raia wa Zimbabwe ambaye alikiwa rubani na mkazi wa Soweto mjini Moshi, Jimmy Daniel (32), daktari wa kampuni ya uokoaji ya Kilimedair ambaye ni mkazi wa Rau mjini Moshi na Inocent Mbaga ambaye ni muongoza watalii (Guide).

Amesema watalii hao walianza safari ya kupanda mlima kilimanjaro, Desemba 20,2025, kupitia njia ya Machame, ambapo walipanda na Kampuni ya Utalii ya Mikaya Tours na ilikuwa ni safari ya siku sita.

Kwa mujibu wa Tanapa ajali hiyo ya helikopta ilihusisha ndege ya Kampuni ya KilimediAir aina ya Airbus.

#mwananchiupdates

UCHUNGUZI WA AJALI YA HELIKOPTA ILIYOUA WATU WATANO WAANZA KILIMANJARO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Самые Крупные Столкновения и Ошибки Кораблей, Снятые на Камеру

Самые Крупные Столкновения и Ошибки Кораблей, Снятые на Камеру

TAARIFA MPYA ya AJALI ya HELIKOPTA ILIYOUA WATU 5 MLIMA KILIMANJARO - ''UCHUNGUZI UNAFANYIKA''...

TAARIFA MPYA ya AJALI ya HELIKOPTA ILIYOUA WATU 5 MLIMA KILIMANJARO - ''UCHUNGUZI UNAFANYIKA''...

MADURO KAYATIMBA, WACHINA WAMEMUUZA/HAKUNA ALIYEWAHI KULETA UPINZANI KWA DOLA MAREKANI IKAMUACHA HAI

MADURO KAYATIMBA, WACHINA WAMEMUUZA/HAKUNA ALIYEWAHI KULETA UPINZANI KWA DOLA MAREKANI IKAMUACHA HAI

MFAHAMU CATHERINE ALIYEWALIZA WATU MAHAKAMANI, KAKA YAKE ANASHTAKIWA KWA UHAINI

MFAHAMU CATHERINE ALIYEWALIZA WATU MAHAKAMANI, KAKA YAKE ANASHTAKIWA KWA UHAINI

35 Случаев, Когда Природа Сошла с Ума

35 Случаев, Когда Природа Сошла с Ума

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Inside the Largest Wood Sawmill Factory – How Plywood Is Made From Logs to Table (Full Process)

Inside the Largest Wood Sawmill Factory – How Plywood Is Made From Logs to Table (Full Process)

Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 25.12.2025 | TV Republika

Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 25.12.2025 | TV Republika

MZEE JOSEPH SINDE WARIOBA AMEAMUA KUTEMA NYONGO NA KUANIKA MADUDU YOTE YA NCHI BILA UOGA

MZEE JOSEPH SINDE WARIOBA AMEAMUA KUTEMA NYONGO NA KUANIKA MADUDU YOTE YA NCHI BILA UOGA

KIJANA AFARIKI BAADA YA KUZAMA BAHARINI FORODHANI

KIJANA AFARIKI BAADA YA KUZAMA BAHARINI FORODHANI

75 Невероятных Моментов в Авиации, Снятых на Камеру

75 Невероятных Моментов в Авиации, Снятых на Камеру

🔴#Live WAZIRI MKUU ATEMA NYONGO MBELE YA ASKOFU

🔴#Live WAZIRI MKUU ATEMA NYONGO MBELE YA ASKOFU "MGAWANYO NDANI YA TAIFA HAUNA MSHINDI"

MKASA MZIMA KILICHOMTOKEA MTUHUMIWA WA UHAINI/AMUOMBEA NYAPARA AACHIWE

MKASA MZIMA KILICHOMTOKEA MTUHUMIWA WA UHAINI/AMUOMBEA NYAPARA AACHIWE

Askofu Mwijage: Taifa limejeruhiwa/ Kanisa ni chimbuko la haki za Binadamu/ Tuondoe tofauti

Askofu Mwijage: Taifa limejeruhiwa/ Kanisa ni chimbuko la haki za Binadamu/ Tuondoe tofauti

ДНК царицы Нефертити наконец проанализировали, результат поразил учёных…

ДНК царицы Нефертити наконец проанализировали, результат поразил учёных…

КУДА ПРОПАЛИ КИЛОМЕТРОВЫЕ ДЕРЕВЬЯ

КУДА ПРОПАЛИ КИЛОМЕТРОВЫЕ ДЕРЕВЬЯ

Уральские Пельмени | [НОВЫЙ 2025] Хельга | Комедийная группа №1 в России

Уральские Пельмени | [НОВЫЙ 2025] Хельга | Комедийная группа №1 в России

Украина отследила

Украина отследила "рождественский груз", а затем потопила его целиком.

ЭТИ 5 СУПОВ ИСЦЕЛЯЮТ ОРГАНИЗМ ИЗНУТРИ: СОВЕТЫ НАТАЛЬИ БЕХТЕРЕВОЙ

ЭТИ 5 СУПОВ ИСЦЕЛЯЮТ ОРГАНИЗМ ИЗНУТРИ: СОВЕТЫ НАТАЛЬИ БЕХТЕРЕВОЙ

To, co Mongołowie zrobili z rodziną królewską Bagdadu, wstrząśnie tobą.

To, co Mongołowie zrobili z rodziną królewską Bagdadu, wstrząśnie tobą.

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]