VOCHA | episode 2 | Boss Arudi Na Silaha - Fabby Abaki Kati Ya Kifo Na Mapenzi
Автор: Fabby Khan
Загружено: 2025-10-21
Просмотров: 3580
Mchezo unazidi kuwa hatari!
Baada ya kugundua kuwa amechezewa na boss wake, Fabby anakutana na upande wa pili wa ukweli.
Boss anafika nyumbani akiwa na silaha mkononi, akimtaka Fabby achague kati ya kufa yeye au mke wake.
Je, ataweza kuokoa familia yake — au huu ndio mwisho wake?
🎬 VOCHA – series kali kutoka Tanzania, ikibeba mchanganyiko wa drama, action, mapenzi na usaliti.
👇 Tazama sasa na usisahau kusubscribe kwa sehemu inayofuata!
#BigBossSeason2#dunia #Vocha #VochaEpisode2 #FabbyKhan #ZanzibarMovies #TanzaniaSeries #BongoMovies #AfricanDrama #ActionSeries #LoveStory #FabbyKhanFilms #Drama #Action #Usaliti #KifoNaMapenzi #FabbyKhanOfficial #ClamVevo #BintiNyoka #VochaSeries #VochaAction #VochaDrama #VochaLoveStory #ZanzibarFilms #SwahiliMovies #Vocha2025 #VochaFans
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: