SAMBUSA ZA KUKU KWA KUTUMIA MANDA ZA MAFUTA
Автор: Aroma Of Zanzibar & Beyond
Загружено: 2019-05-02
Просмотров: 64710
Sambusa za kuku
Vidari 2 vya kuku vya kiasi
Kijiko 1 kikubwa cha bizari ya uzile ya unga ( bizari nyembamba)
Pilipili manga ya kusaga ya unga kijiko 1 kikubwa
Kijiko 1 kikubwa cha vitunguu thom na tangawizi mbichi ilosagwa
Kijiko 1 kikubwa unga wa giligilani
Pilipili ya unga kiasi
Chumvi
Ndimu 1 au 2
Vitunguu maji 1 kikubwa
Carrot 1 kubwa
Majani ya kotmiri/dhania/giligilani – fungu 1
Pilipili za kuwasha utakavyopenda
Chumvi kiasi
Aroma of Zanzibar social media
/ fathiya.ismail
/ aromaofzanzibar
Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?searc...
Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukambok...
Music courtesy / contemplative-middle-east-oud-improvisation
This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: