Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

KILIO CHA WANANCHI KUPASUKA KINGO BWAWA LAO LA LEPURKO SHULENI UFUMBUZI WAPATIKANA

Автор: MONDULI TV ONLINE

Загружено: 2023-03-19

Просмотров: 1231

Описание:

Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Monduli Mhe. Isack capriano amelitembelea bwawa la lepurko shuleni ambalo limepasuka tuta na kusababisha kupoteza maji mengi hasa kipindi hiki cha Mvua.

baada ya kulitembea eneo hilo amekutana na wanachi wa Lepurko na kuitaja lepurko kuwa ni miongoni mwa kata tatu zenye changamoto ya maji katika wilaya ya Monduli huku akitoa maelezo juu ya hatua za awali zitakazo chukuliwa.

Aidha amesema Licha ya juhudi za Serikali kupitia wizara ya maji ambayo iliahidi kufika monduli kuna haja ya Uongozi wa wilaya kutafta njia mbadala ya kuwasaidia wananchi wa eneo hilo kupata maji kwa haraka..

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Monduli Raphael Siumbu amesema tayari epokea maelekezo kwa Mwenyekiti wa Halmashauri juu ya bwawa hilo na mpango mzima wa awali wa kuwasaidia wanachi kupata maji huku jitihada zingine zikiendelea ili kutatua kabisa changamoto hiyo.

Yonas Masiaya Ni diwani wa kata ya Lepurko amesema licha ya jitihada hizo za awali kuna haja Serikali kuona namna ya kupata suluhu ya kudumu juu tatizo la maji katika kata ya Lepurko

KILIO CHA WANANCHI KUPASUKA KINGO BWAWA LAO LA LEPURKO SHULENI UFUMBUZI WAPATIKANA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

KILIO CHA MAJI YAIKUMBA LEPURKO MONDULI WANANCHI WAPASA SAUTI ZAO

KISIOK NA KIMAY WATHIBITISHWA RASMI NA BARAZA LA MADIWANI

SAFARI YA TRENI DAR - ARUSHA, SHUHUDIA DARAJA MPAKA DARAJA, ABIRIA WANENA

⚡️ЖДАНОВ: СРОЧНО! Разведка США ВЫШЛА с СЕНСАЦИОННЫМ заявлением. СЛИЛИ инсайд из Кремля

Kijiji ambacho wanaume wote wamepigwa marufuku!

MGOMBEA UDIWANI KATA YA NAALARAMI EDWARD LENANU AMEZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI

TAASISI  YA KHATAMUL ANBIYAA YATOA MSAADA WA MAJI KIPINDI HIKI CHA UKAME KIJIJI CHA NANJA MONDULI

ZIARA YA JUMUIYA YA WAZAZI CCM MONDULI YAENDELEA, ELIMU,UCHUMI  NA UHAI WA CHAMA VYAPEWA KIPAUMBELE

Mbunge wa Monduli,Mhe.Fred Lowasa ,afanya ziara katika kata ya sepeko kijiji cha lendikinya......

MBUNGE MONDULI ISACK JOSEPH BAADA KIAPO  CHA UBUNGE APOKELEWA KWA KISHINDO

*MGOMBEA UDIWANI KATA YA SELELA KISIOK MOITIKO AZINDUA KAMPENI

MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MONDULI APOKEA DARASA KUTOKA KWA WADAU MAENDELO MPDI HUKO ESILALEI

MAKALA: ZIARA YA JUMUIYA YA WAZAZI KATA YA ESILALEI WILAYA YA MONDULI

Uroczysta zmiana flagi nad Pałacem Prezydenckim

DIWANI KIMAY MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MONDULI

KUFUNGA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA_WILAYA YA IGUNGA.Director zengo saida.

MBUNGE WA MONDULI MHE. FREDRICK LOWASSA ,AWAKABIDHI WANA MONDULI GARI LA TANO LA KUBEBEA WAGONJWA.

MALAIGWANANI WAMPA BARAKA MBUNGE MONDULI MH.ISACK JOSEPH COPRIANO

NEEMA YAWATEMBELEA WAMAASAI || KULIPWA FIDIA MRADI WA MAGADI SODA ENGARUKA

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA MONDULI KISIOK AZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA MTO WA MBU

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]