Mwanamke huko Mombasa ajitia kitanzi baada ya mtoto wa kambo kunyimwa nauli
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2019-11-21
Просмотров: 29526
Mwanamke mmoja mwenye wa umri wa makamu amejitia kitanzi baada ya mumewe kudaiwa kukataa kumpatia nauli ya mtoto wa kambo kuja mjini Mombasa. Polisi wameanza uchunguzi zaidi kuhusu kisa hicho.
#SemanaCitizen
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: