Goal Setting | Mr. Misana Manyama | Ibada ya Vijana 9 Jan. 2024
Автор: vcctmbezibeach
Загружено: 2024-01-09
Просмотров: 1334
#vcct #goals #focus #imani #ibada #faith #settings #purpose
Jiunge na chaneli yetu rasmi @vcctmbezibeach upate mahubiri yetu kila tunapokutana hapa katika maskani ya Bwana, mahubiri yako uyapendayo kwa miaka mingi, na mengine mengi.
Ujumbe wa Leo: Goal setting
Andiko Kuu: Genesis 1:1,28-29
Mnenaji: Mr. Misana Manyama
Tarehe: 09 Januari 2024
Ukipenda kumpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako, unaweza kuwasiliana na kanisa kupitia namba zifuatazo "+255 714 503 638".
Ukipenda kuendelea kulisha nafsi yako na kuwa sehemu ya familia yetu, pitia kiungo kifuatacho ili kujiunga na Kanisa la nyumbani lililopo karibu nawe "http://vcc.or.tz/lifecentre/".
Ikiwa hii ni mara yako ya kwanza kujiunga mtandaoni, tungependa kukufahamu zaidi, jaza fomu ifuatayo "http://vcc.or.tz/visit/".
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: