Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Historia Ya Damian Soul : "Baba Yangu Alikuwa Judge, Nina PHD" | SALAMA NA DAMIAN SOUL PART 2

Автор: YahStoneTown

Загружено: 2022-11-14

Просмотров: 9437

Описание:

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460

Damian Soul ni Superstar na siku ambayo sote tutakubaliana na hiyo statement basi tutaanza kufaidi matunda ya kipaji chake kwa uzuri sana, ila mpaka siku hiyo ifike ni wachache tu ambao wanamuelewa kwa upana huo ndio ambao wataendelea kufaidi kipaji chake kwa nafasi yao. Wale watu wa makampunj mbali mbali kwa mfano CocaCola ambao wanakua na events zao za ndani kwaajili ya watu wao na waalikwa wawili watatu huwa wanamfaidi sana kijana huyu hodari wa ki Tanzania. Na Damian kwa ukali wake akipata nafasi kama hiyo huwa hafanyi makosa hata kidogo, huhakikisha anapeleka mziki wote kwao ili wakati mwengine wanapokua na event basi jina lake liwe la kwanza kwenye list ya waburudishaji wao. Mzaliwa wa Dar es Salaam, mtoto wa Sinza kabisa, Damian amezaliwa kwenye familia ya kishua kabisa, jinsi ambavyo unaona anavaa ki nadhifu vile ukiachana na hereni zake, hivyo ndivyo Marehemu Mzee wake alivyokua ananyuka, nadhifu kabisa. Koti imenyooka na ilivaliwa inakaa hasa mahala pake, kiatu inang’aa vizuri baada ya kuipiga kiwi mwenyewe, Damian anakumbuka unadhifu huo na ki uhakika ameurithi na kuuendeleza. Shule kwake ilikua ni kitu tu ambacho ilibidi akifanye kwasababu pengine kila mtu au mtoto kwa matakwa ya wazazi ilibidi afanye hivyo na ili aweze kutoka pale alipokua ilibidi afunge mabegi yake mpaka Kampala nchini Uganda, kama utakumbuka vizuri kuna miaka ya kati ya 2000 hapo ilikua kama ‘fashion’ kwa watoto wa ki Tanzania kwenda kusoma kule, kwa khadithi nyingi nilizo zisikia wengi wao walikua sio waingiaji sana class na badala yake maisha ya ku party na kujitafuta na kujielewa ndo yalikua ki hivyo zaidi. Haikua tofauti pia kwa Damian Soul, Ila yeye sio kwenye ku party ila kwenye kujitafuta na kujua kwamba muziki ndo kitu alitaka kufanya kwa maisha yake yote. Anakumbuka mti ambao alikua anakaa chini yake na ‘kulicharaza’ sana gitaa na kila aliyekua anapita pale habari alikua nayo. Upekee wake wa kuanzia sauti mpaka style yake ya mavazi ndo unaomtofautisha yeye na wengine, ukimuona tu utajua kama ni Star maana jinsi ambavyo anajibeba ni tofauti na watu wengine. Hii pia inasababisha watu kujiuliza maswali kuhusu maisha yake na vitu apendavyo kama mtoto wa kiume. Yeye kwa mujibu wa maongezi haya na mengine ambayo mimi na yeye tushawahi kuwa nayo hayamsumbui kabisa. Anajiheshimu na kujielewa na pia anajua mipaka iko wapi. Na pengine kama binadamu tunatakiwa kuwaacha watu wawe wao, especially kwasababu hayo ni maisha yao, na kwa heshima na taadhima wanajua jinsi ya kujibeba kama binadamu na zaidi kama mTanzania. Anakumbuka jinsi ambavyo alikua Sinza hasa baada ya Baba yake kutangulia mbele ya haki, anasema mtaani palikua pa moto sana kwa kugumbikwa na wimbi la vijana kujihusisha na vitendo vya kihuni na wizi na kujikita kwenye matumizi mazito ya madawa ya kulevya. Anasema yeye alifanikiwa kukimbilia kanisani wakati anasubiria mambo yake mengine ya shule yakae sawa. Kanisani ambako alijifunza mambo ya muziki ikiwa pamoja na kujifunza kupiga instruments, ukiachana na sauti yake ya kipekee, Damian pia ni mpiga gitaa mzuri sana na muandishi hodari pia wa ngoma zake. Mimi ni mmoja wa mashabiki wake na binafsi nilichukua nafasi hii ili tukae chini na tuyajenge kama familia na watu wengine pia wapate nafasi ya kumskiliza na kumuelewa vizuri. Wengi wamekua wakimhukumu kwasababu tu ya muonekano wake na kama Dada na rafiki niliona kuna umuhimu wa sisi kupata nafasi ya kukaa chini na kumfahamu kinaga ubaga. Kama binadamu wote tulivyo, kila mmoja wetu ana mitihani yake ambayo anapitia, mengine mpaka leo inaendelea na mengine ilikua tunafaulu na mengine kufeli, ila kupitia huko ndo ambako kumetufanya tuwe bora na wapya na kujifunza ni jinsi gani mmoja anaweza kutengeneza maisha yake na akawa mfano bora kwa familia na jamii ambayo imemzunguka.

Tafadhali enjoy,
Love,
Salama.

Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs

Listen our Podcast on
Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa

Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...  

Follow:
Twitter:   / yahstonetown  
Instagram:   / yahstonetown  
Facebook:   / yahstonetown  

Channel Administered by Slide Digital
Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

Historia Ya Damian Soul : "Baba Yangu Alikuwa Judge, Nina PHD" | SALAMA NA DAMIAN SOUL PART 2

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Damian Soul :

Damian Soul : "Niliona Kifo Kiko Karibu Sana Na Mimi" | SALAMA NA DAMIAN SOUL PART 1

Salama Na ALLYBEE SE6 EP72| KULE NI KULE... PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na ALLYBEE SE6 EP72| KULE NI KULE... PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Damian Soul ft Epic Minds X Pepzee & DodePro - Samba (Official Music Video)

Damian Soul ft Epic Minds X Pepzee & DodePro - Samba (Official Music Video)

DAMIAN SOUL: SINA UKARIBU NA DIAMOND PLATNUMZ ILA ALINIPA KAZI/MUONEKANO WANGU NI GHARAMA

DAMIAN SOUL: SINA UKARIBU NA DIAMOND PLATNUMZ ILA ALINIPA KAZI/MUONEKANO WANGU NI GHARAMA

Red Smoke — Deep House Chill Mix 2026 | Night Vibes

Red Smoke — Deep House Chill Mix 2026 | Night Vibes

ЗАЧЕМ ТРАМПУ ГРЕНЛАНДИЯ? / Уроки истории @MINAEVLIVE

ЗАЧЕМ ТРАМПУ ГРЕНЛАНДИЯ? / Уроки истории @MINAEVLIVE

Что Вышло из Моды и Чем Заменить! Тренды и АнтиТренды 2026 года | Stop Wearing This in 2026

Что Вышло из Моды и Чем Заменить! Тренды и АнтиТренды 2026 года | Stop Wearing This in 2026

Мы будем жить до 130 лет! Как создатель Maps.me Юрий Мельничек делает лекарство от старости

Мы будем жить до 130 лет! Как создатель Maps.me Юрий Мельничек делает лекарство от старости

Utamheshimu zaidi Damian Soul ukitazama video hii akiimba live hits zake hapa SnS akiwa na gitaa

Utamheshimu zaidi Damian Soul ukitazama video hii akiimba live hits zake hapa SnS akiwa na gitaa

«Мир не наступает сам — его строят!»: жёсткая речь Владимира Путина о будущем мира

«Мир не наступает сам — его строят!»: жёсткая речь Владимира Путина о будущем мира

Salama Na VANNY BOY Ep 54 | NDAGHA PART 1

Salama Na VANNY BOY Ep 54 | NDAGHA PART 1

Salama Na MR BLUE SE6 EP69 KHERI PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na MR BLUE SE6 EP69 KHERI PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Damian Soul Cocacola Perfomance Road To The World Cup

Damian Soul Cocacola Perfomance Road To The World Cup

ALICHO FANYA DIAMOND KWA 20 PERCENT,,,KAJIUNGE NA WEWE UTOBOE KAKA,,,UNAFELI WAPI 20 PERCENT???

ALICHO FANYA DIAMOND KWA 20 PERCENT,,,KAJIUNGE NA WEWE UTOBOE KAKA,,,UNAFELI WAPI 20 PERCENT???

Где ЛЕЖАТ МИЛЛИАРДЫ?

Где ЛЕЖАТ МИЛЛИАРДЫ?

Maisha Superstar | Damian Soul Sina Makosa by Les Wanyika

Maisha Superstar | Damian Soul Sina Makosa by Les Wanyika

ВАНЯ, ЗАЧЕМ ТЫ ТАК! МИХАЛКОВ БЕСОГОН / УРГАНТ / ОКСАНА КРАВЦОВА @oksanakravtsova

ВАНЯ, ЗАЧЕМ ТЫ ТАК! МИХАЛКОВ БЕСОГОН / УРГАНТ / ОКСАНА КРАВЦОВА @oksanakravtsova

Historia Ya Kumbuka : Kuishia La 7 Mpaka Kuwa Mtangazaji Nguli | SALAMA NA DR KUMBUKA PT 1

Historia Ya Kumbuka : Kuishia La 7 Mpaka Kuwa Mtangazaji Nguli | SALAMA NA DR KUMBUKA PT 1

Диагноз Путина, гнев Трампа и Британия без воды: что происходит? 15/01/26

Диагноз Путина, гнев Трампа и Британия без воды: что происходит? 15/01/26

Alikiba - Mahaba (Official Lyric Video)

Alikiba - Mahaba (Official Lyric Video)

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com