Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

KAMCHAPE WAANZA KUSAKWA NA JESHI LA POLISI MWANZA

Автор: BONGO PLAY TELEVISION

Загружено: 2025-12-18

Просмотров: 664

Описание:

KAMCHAPE WAANZA KUSAKWA NA JESHI LA POLISI MWANZA

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewataka wananchi kuachana na imani potofu ikiwemo kuamini katika ushirikina ambao unaweza kuchochea mauaji, ukatili na matukio mengine ya jinai katika baadhi ya maeneo, hususan katika Kisiwa cha Ukara, Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza.

Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa, alipofanya mkutano wa hadhara na wakazi wa Kata ya Bwisya wilayani humo kwa lengo la kutoa elimu ya usalama na kuhimiza utunzaji wa amani.

Akizungumza kwenye mkutano huo uliowakutanisha viongozi wa Serikali, dini na wananchi, DCP Mutafungwa amesema jukumu la kudumisha amani ni la kila mmoja, hivyo kila mmoja anapaswa kushiriki kikamilifu kukemea vitendo vya uvunjifu wa amani vinavyofanywa na watu wanaojiita wataalam wa kusaka wachawi maarufu kama ‘Kamchape’.

Amebainisha kuwa kundi hilo limekuwa likijihusisha na uporaji wa mali, utapeli kwa kutumia ramli chonganishi na kuingia katika nyumba za watu kwa madai ya kuondoa ushirikina jambo ambalo linajenga chuki na kukiuka sheria za nchi.

Ametoa wito kwa wananchi kuacha kuwahifadhi wahalifu hao (Kamchape)badala yake watoe ushirikiano kwa Jeshi la Polisi ili hatua kali zichukuliwe dhidi yao kwa mujibu wa sheria.

Aidha, Kamanda Mutafungwa amesema watu 21 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wakihusishwa na vitendo hivyo vya kihalifu na uchunguzi dhidi yao unaendelea, utakapokamilika watafikishwa kwenye vyombo vya sheria.

Kwa upande wao, baadhi ya wananchi wa Kisiwa cha Ukara, akiwemo Maritha Nyangeta na Samsoni Ibrahim, wamelishukuru Jeshi la Polisi kwa kufika kisiwani hapo na kutoa elimu, wakisema hatua hiyo imewaondolea hofu waliyoishi nayo kwa zaidi ya miezi mitatu.

Wamesema wamekuwa wakilengwa na kundi la Kamchape linalopita nyumba kwa nyumba, kuwatisha na kuwanyang’anya mali zao kwa madai ya kuwatoa uchawi, hali iliyozua taharuki na kuathiri maisha yao ya kila siku.

Jeshi la Polisi limeahidi kuendelea na msako mkali dhidi ya watu wote wanaojihusisha na vitendo hivyo hadi pale vitakapotokomezwa.

KAMCHAPE WAANZA KUSAKWA NA JESHI LA POLISI MWANZA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Ruto aagiza walio na silaha haramu Trans Mara wazisalimishe

Ruto aagiza walio na silaha haramu Trans Mara wazisalimishe

RAIS SAMIA ALIVYOYARUHUSU MAGARI KUPITA RASMI DARAJA JIPYA LA KIGONGO BUSISI MWANZA

RAIS SAMIA ALIVYOYARUHUSU MAGARI KUPITA RASMI DARAJA JIPYA LA KIGONGO BUSISI MWANZA

TAMKO JIPYA LA POLISI KUELEKEA KRISMASSI/ WATOA ONYO KALI

TAMKO JIPYA LA POLISI KUELEKEA KRISMASSI/ WATOA ONYO KALI

NOMA: MSTAAFU MAJALIWA ATOA SIRI AKILIA NA HAYATI MAGUFULI AKIMTAJA KIKWETE NA DR SAMIA WALIVOMTEUA

NOMA: MSTAAFU MAJALIWA ATOA SIRI AKILIA NA HAYATI MAGUFULI AKIMTAJA KIKWETE NA DR SAMIA WALIVOMTEUA

Wananchi Wagoma Kuwasaidia Polisi Waliopata Ajali Ya Gari Wawaambia Hawawasaidii Wauaji Wa Ndugu Zao

Wananchi Wagoma Kuwasaidia Polisi Waliopata Ajali Ya Gari Wawaambia Hawawasaidii Wauaji Wa Ndugu Zao

JIRANI WA MWIJAKU AFICHUA MAZITO YA MKE WA MWIJAKU BAADA YA KUACHANA NA MWIJAKU,TAZAMA HAPA...

JIRANI WA MWIJAKU AFICHUA MAZITO YA MKE WA MWIJAKU BAADA YA KUACHANA NA MWIJAKU,TAZAMA HAPA...

MAISHA YALIBADILIKA GHAFLA: KIJANA WA MIAKA 32 AISHI KITANDANI MIAKA 2

MAISHA YALIBADILIKA GHAFLA: KIJANA WA MIAKA 32 AISHI KITANDANI MIAKA 2

Chama cha matabibu KUCO chatishia mgomo wa kitaifa kuanzia saa sita usiku

Chama cha matabibu KUCO chatishia mgomo wa kitaifa kuanzia saa sita usiku

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Swali Tata Katika Mjadala Wa Sheikh Na Pastor || Sheikh Said Bafana

Swali Tata Katika Mjadala Wa Sheikh Na Pastor || Sheikh Said Bafana

VITUO VYA MAENDELEO YA VIJANA KUBORESHWA : NANAUKA

VITUO VYA MAENDELEO YA VIJANA KUBORESHWA : NANAUKA

Polisi wa Samia wapata Ajali wananchi Wasusia kusaidia polisi Majeruhi baada ya Ukatili Tanzania

Polisi wa Samia wapata Ajali wananchi Wasusia kusaidia polisi Majeruhi baada ya Ukatili Tanzania

WAZIRI NADIR ATOA ONYO KALI KWA WACHIMBAJI WA MCHANGA KASKAZINI UNGUJA

WAZIRI NADIR ATOA ONYO KALI KWA WACHIMBAJI WA MCHANGA KASKAZINI UNGUJA

#SILIKIZA:  TANZANIA YATANGAZA VITA DHIDI YA KENYA

#SILIKIZA: TANZANIA YATANGAZA VITA DHIDI YA KENYA

MADEREVA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

MADEREVA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

🔴#LIVE:OPARESHENI YA DADA POA MANZESE(UWANJA WA FISI),NA MKUU WA WILAYA YA UBUNGO,MH HASSANI BOMBOKO

🔴#LIVE:OPARESHENI YA DADA POA MANZESE(UWANJA WA FISI),NA MKUU WA WILAYA YA UBUNGO,MH HASSANI BOMBOKO

HAPA NDIPO BUHONGWA MWANZA,TAZAMA MUONEKANO WAKE PANAVUTIA

HAPA NDIPO BUHONGWA MWANZA,TAZAMA MUONEKANO WAKE PANAVUTIA

MABASI YAENDAYO MIKOANI NA NJE YA NCHI YAKAGULIWA, MADEREVA WAONYWA KUZINGATIA SHERIA

MABASI YAENDAYO MIKOANI NA NJE YA NCHI YAKAGULIWA, MADEREVA WAONYWA KUZINGATIA SHERIA

WAKUU WA VITUO VYA MAGEREZA TOENI USHIRIKIANO KWA VIONGOZI WA TPS SACCOS

WAKUU WA VITUO VYA MAGEREZA TOENI USHIRIKIANO KWA VIONGOZI WA TPS SACCOS

МакЧейндж обрушился с критикой на священника Китиму, Лиссу и Хече, раскрыв секрет, о котором мы н...

МакЧейндж обрушился с критикой на священника Китиму, Лиссу и Хече, раскрыв секрет, о котором мы н...

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]