TUKATAE RUSHWA KATIKA UCHAGUZI - KWAYA YA TAKUKURU
Автор: TAKUKURU TV
Загружено: 2025-10-05
Просмотров: 1582
Kwaya ya TAKUKURU inakuja na video hii ya kuhamasisha wananchi kuelewa madhara ya rushwa na umuhimu wa kuzingatia maadili katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Kwa kupitia wimbo huu, tunawahimiza Watanzania kutokubali rushwa, kudumisha amani, na kuchagua viongozi kwa njia za haki na uwazi. Pamoja, tunaweza kujenga taifa lenye maendeleo endelevu na salama. Jiunge na Kwaya ya TAKUKURU katika kupiga vita rushwa na kulinda mustakabali wa taifa letu. "KUZUIA RUSHWA NI JUKUMU LAKO NA LANGU, TUTIMIZE WAJIBU WETU...!'
#rushwa
#takukuru
#uchaguzimkuu
#kataarushwakatikauchaguzi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: