Pamba Jiji FC 0-3 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 28/02/2025
Автор: Azam TV
Загружено: 28 февр. 2025 г.
Просмотров: 358 392 просмотра
Stephane Aziz Ki amefunga magoli mawili akitokea benchi, na kuipa Yanga ushindi wa mabao 3-0 dhidi ay Pamba Jiji FC, mchzo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye dimba la CCM Kirumba, Mwanza.
Aliyeanza kufunga alikuwa ni beki, Shadrack Boka Isaka kwa free-kick dakika ya 28, kabla ya Aziz Ki kufunga magoli yake ndani ya dakika mbili, dakika ya 75 na 77.
Tazama Highlights....

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: