Mlima Sayuni/Nakuamini - Gabriel Katiwa (GK) Live Recorded Official Video
Автор: Gabriel Katiwa (GK)
Загружено: 2024-11-11
Просмотров: 33343
MLIMA SAYUNI/NAKUAMINI LYRICS
Philippians 4:12. Psalms 125:1
Nimejua kudhiliwa
Nimejua kufanikiwa
Umefuza moyo wangu
kukuamini
Katika vingi
Kupungukiwa
Umekuwa faraja yangu
Neno lako mwanga wangu
Nakuamini
Nimechangua
Kufunza moyo wangu
Kukuamini wewe
Bwana
Nimechagua
Kufunza moyo wangu
Kukutegemea wewe
Bwana
Wamtegemeao
Bwana
Ni kama mlima
Sayuni
Hawatatikisika
Milele
Milelee
Nakwamini
Wewe unaweza
Nakwamini
Wewe wanitosha
Nakwamini
Wewe mwaminifu
Nakwamini
umestahili
Unaweza, unaweza
Unaweza Bwana
Wanitosha, wanitosha
Wanitosha Bwana
Mwaminifu, mwaminifu
Mwaminifu Bwana
Twakwinua, twakwinua Bwana
Twakwinua Bwana
Twakwabudu, Twakwabudu Bwana
Twakwabudu Bwana
#gospelmusic #dripyana #hallelujah #gospel #kenyangospelmusic #spiritofpraise #tanzaniagospel #upperroomworshipexperience #benjamindube
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: