MTANDAO NI SILAHA YA NCHA MBILI 😱 | Onyo Kali la Sheikh Othman Maalim
Автор: NUJABAA TV
Загружено: 2026-01-19
Просмотров: 3013
Mtandao unaweza kukuinua au kukuangamiza.
Sheikh Othman Maalim anaeleza kwa nini mtandao ni silaha ya ncha mbili na namna ya kuutumia bila kuharibu dini, maadili na mustakabali wako.
📌 Mafunzo mafupi lakini mazito – Pepo Yako Tv.
Mawaidha haya ni muhimu kwa kila anayetumia simu na mitandao ya kijamii.
🔔 Subscribe NUJABAA TV kwa mawaidha yenye kugusa maisha ya kila siku.
#OthmanMaalim #Mtandao #Mawaidha #Vijana #IslamicShorts #Maadili #MitandaoYaKijamii
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: