Jinsi ya kugundua ukubwa (gigantic)uliopo ndani yako - Paul Magola
Автор: Paul Magola
Загружено: 2020-03-09
Просмотров: 3129
Kila mwanadamu ana uwezo binafsi ambao Mungu ameuweka ndani yake, mwanadamu anapokuwa amegungua uwezohuo basi anakuwa na jitihada binafsi na furaha ya maisha kwasababu katika kutekeleza sehemu yake hakuna binadamu anaeweza kumzuwia kwa namna yoyoteile, katika video hii mimi Paul Magola nimeelezea jinsi ya kuugundua ukubwa wako na kuufanyia kazi. Endapo umefurahishwa na kujifunzakitu kupitia video hii na mafundisho yangu yote basi usisahau kuacha comenti hapo chini na pia kushea video hii kwa uwapendao ili tuweze kupunguza umaskini duniani.
Kwa mawasiliano yangu
magolapaul@gmail.com
instagram #paulmagola
tweeter @paulmagola
linkdin Paul Magola
tafadhali usisahau ku subscribe kwenye chanel hii ilikujifunza zaidi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: