Jinsi ya Kupika KALIMATI za NAZI Tamu Sana 😋
Автор: BelsFarm Kitchen Swahili
Загружено: 2024-05-22
Просмотров: 3711
jinsi ya kupika kalimati za Nazi Tamu Sana. mahitaji yake Ni Rahisi kwa kila familia.
MAHITAJI;-
Unga wa ngano (nusu kilo)
tui la Nazi (600ml)
sukari (Kijiko 1 cha chakula)
chumvi (Kijiko 1 cha chai)
hamira (Kijiko 1 cha chakula)
yai 1
iliki (vijiko 2 vya chai)
sukari (150-200g kwa ajili ya Shira)
maji (150-200ml kwa ajili ya Shira)
iliki (Kijiko 1 cha chai kwa ajili ya Shira)
fleva ya Nazi (Kijiko 1 cha chai kwa ajili ya Shira)
#kalimati #jinsiyakupikakalimati #jinsiyakupikakalimatitamusana #kalimatizanazi #kaimati #belsfarmkitchenswahili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: