DUDUBAYA aibukia kwa MWAMPOSA. Aombewa, aamua kuokoka
Автор: DP Media
Загружено: 2019-08-26
Просмотров: 57
Msanii wa Muziki wa Bongo Godfrey Tumaini (Dudubaya) amekwenda kwenye Kanisa la Nabii Boniface Mwamposa lililopo Kawe Tanganyika Packers Dar es Salaam na kuombewa ambapo ameahidi kumfuata Yesu. Dudubaya ni miongoni mwa wasanii ambao wamekuwa wakiishi maisha yasiyopendeza.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: