Mlipuko wa homa ya Rift Valley Siaya
Автор: Citizen Extra
Загружено: 2018-06-21
Просмотров: 549
Mtu mmoja amethibitishwa kufariki kutokana na homa ya Rift Valley katika kaunti ya Siaya huku wakazi wakiwa kwenye hali ya tahadhari kujikinga na ugonjwa huu. hata hivyo, hii ni mara ya kwanza kwa ugonjwa huu kuripotiwa Siaya, Kama mwanahabari wetu Kassim Mwalimu Adinasi anavyotuarifu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: