KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | EBENEZER
Автор: Uinjilisti Kijitonyama Choir
Загружено: 2024-12-20
Просмотров: 15761
EBENEZER
1. hata sasa Ebeneza umetusaidia,
mfalme wa Amani, Usiebadilika (badilika eee,)
Ni rafiki usie na sababu ya kukengeuka
Kiongozi bora usie na kasoro (usie na kasoro eee,hohooo)
Tumekubali tuwe wana na wewe uwe baba,
siku zote tupungue wewe utoshelezeeee x2
solo/
Umekua Nuru katika giza nene,mtetezi wakati wa Dhoruba
kwa umande unyeshee moyo yetu iwe shamba zuri la wewe kupumzika x2
solo/; Tunashukuru Mungu kwa upendo na amani,
umetuliza Bahari ikawa shwari
sasa tuvushe tupeleke hadi Bandarini,
tukutoleee sifa pasipo kikomo x2
wote: Pokea sifaaaa(pokea sifa baba) x4
(Pokela na yahwe bakubela bali wama)x4 ahaa bali wama
(Shukuru Mungu kwani yeye ni mwema)x 4 ahaa ni mwema
(Mwinue Mungu kwani yeye yu mwema)
(Mwimbie Mungu kwani yeye ni mwema)
Kwani yeye ni mwemaaaa- Ahaa ni mwema x 6
(cheza kidogo sasa)chuba
Aii mama tusekete-ehee-tusekete
Setani eeee,tumusike setani -ahaaa
Musike-ahaa
Moto ushuke mbinguni uchome kazi za shetani-eheeeeee x2
Todiya ehee-(eheee),todiya ehee(ehee) x4
Kwajina la Yesu
Baliwama aaa(ahaa bali wama)

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: