Simu za Google Pixels nne zenye bei chini ya Laki nne na nusu! (Tsh 450,000)
Автор: ELLY TECH
Загружено: 2025-08-05
Просмотров: 1464
Video hii inakupitisha kwenye orodha ya simu nne za Google Pixel ambazo unaweza kuzipata kwa bei ya chini ya Tsh. 450,000. Nimeziorodhesha kuanzia yenye bei kubwa zaidi hadi yenye bei ndogo zaidi.
Angalia video hii hadi mwisho ili ujue ni simu gani ya Google Pixel inakufaa kulingana na bajeti yako na mahitaji yako!
Katika video hii utajifunza:
• Bei na uwezo wa kamera wa kila simu.
• Sababu za kuzichagua, hata kama ni za zamani kidogo.
• Tofauti kuu kati ya kila simu, itakayokusaidia kufanya maamuzi sahihi.
• Simu yenye bei nafuu zaidi katika orodha hii ambayo bado inafaa kununua.
Usisahau kulike, kushare, na kusubscribe kwenye chaneli hii kwa video nyingine nyingi kama hizi!
#ellytech #GooglePixel #chiniyalakinne #pixelphone #Googlepixel7 #Googlepixel6 #Googlepixel4xl #Googlepixel4a5g #EllyTech
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: