WACHAKATAJI KOROSHO WAIOMBA SERIKALI KUANGALIA MFUMO MPYA WA UUZAJI
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2020-03-25
Просмотров: 1273
Uongozi wa kiwanda cha kubangua na kuchakata korosho cha Yalin Cashewnut Company Limited kilichopo Mkoani Mtwara umeiomba Serikali kuweka utaratibu mwingine wa uuzaji wa korosho ghafi ambao utawawezesha wenye viwanda vya kuchakata korosho nchini kupata mali ghafi hiyo kwa urahisi na bei nafuu, badala ya utaratibu uliopo hivi sasa ambapo wenye viwanda hao wananunua korosho ghafi kupitia minada, hali ambayo inawafanya wakumbane na ushindani mkubwa kutoka kwa wanunuzi kutoka nje ya nchi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: