Wema Sepetu Afika Mahakamani Akiwa Mgonjwa, Tazama Anavyojikongoja
Автор: Global TV Online
Загружено: 2017-07-10
Просмотров: 104537
MLIMBWENDE mwenye jina kubwa Bongo, Wema Sepetu amefika katika Mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu mapema leo akiwa na mama yake, Mariam Sepetu na watuhumiwa wenzake wawili kwa ajili ya kusikiliza kesi yao ya kosa la kukutwa na bangi.
Wema, ambaye ni mshiriki wa Shindano la Shepu Bomba linaloendeshwa na Gazeti la Ijumaa ambalo linatoka kila Ijumaa amekana mashataka hayo na hivyo kesi yake kusogezwa mpaka tarehe 1 mwezi wa nane ambapo itaanza kusikilizwa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: