KIJANA WA MAKACHU APATA MAJERAHA MABAYA BAADA YA KUANGUKA FORODHANI
Автор: ASAM Online TV
Загружено: 2025-07-04
Просмотров: 41608
Kijana mmoja wa kikundi cha burudani maarufu cha Makachu amejeruhiwa vibaya baada ya kuanguka kutoka sehemu ya juu wakati wa maonesho ya kuruka katika eneo la Forodhani, Mjini Zanzibar.
#Makachu #Forodhani #AjaliZanzibar #AsamOnlineTV #BurudaniNaUsalama #ZanzibarNews #TukioLaLeo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: