Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1

Автор: YahStoneTown

Загружено: 2020-09-26

Просмотров: 358403

Описание:

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs

Listen our Podcast on
Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa

Kajala Winfrida Masanja ndo jina lake alipopewa na Mama yake kipenzi alipozaliwa. Mama ambaye alikua akilitumikia jeshi la Polisi Tanzania miaka ya nyuma, ambaye alihakikisha binti yake huyu anakua katika maadili yaliyo bora na nidhamu yake iwe ya hali ya juu. So nini haswa kilitokea mpaka akawa si mtoto mzuri yule ambaye Mama alifanya kila aliwezalo kuhakikisha anakua hivyo miaka ya nyuma? Sasa ni Mama na mfanyabiashara anayejielewa tu. Ila yepi haswa ambayo yalishawahi kutokea kwenye maisha yake na ambayo hajivunii hata kidogo?

Mimi na K tunafahamiana miaka mingi sana, mara ya kwanza tulikuna kwenye michezo, kwenye uwanja wa basketball wa Pazi pale Drive In enzi hizo, skuizi nadhani panaitwa Ubalozi maana ni mkabala kabisa na ubalozi wa Marekani na uwanja umo ndani ya nyumba za Tanesco na sisi pia tulikua tukipaita hivyo. I remember alikua anakuja kucheza na sisi enzi hizo yeye anasoma Jitegemee nami nasoma Makongo Secondary School, hakua mchezaji mkaaali ila alikua na juhudi, na kwa mujibu wa maongezi yetu haya aliniambia ile pia ilikua ni moja ya njia zake za kutoka nyumbani na kupata kijihewa ivi, kwa kukutana na watu tofauti 😀. Sisi tulikua tukimshangaa kwa mitkasi yake mingi, alikua anatoka, yuko na marafiki ambao walikua wakubwa kuliko yeye na kama alikua na mambo mengi ivi. Ila huko ndo kukua sasa, maana unachojifunza wakati unafanya jambo ndo hapo unapoweza kujua kama ni zuri au baya na kama lina faida nawe au laa.

Next thing I know Kajala ni mpenzi wa producer mataaata haswa enzi hizo ndani ya P-Funk na kwenye story zetu za humu amezungumzia hilo kwa urefu haswa, vile walivyokutana, alivyokua anakaa nae, reaction ya wazazi wake na waalimu shuleni na mahusioano yao mpaka yalipofika tamati. Jinsi ambavyo walikua wakiishi yeye na PFunk bila ya Mama yake Majani kujua kama mwanae anaishi na mwanafunzi ndani ya nyumba yake na mpaka akapata mimba bila ya yeye kujua. Paula alipozaliwa ndo mambo yakawa hadharani.

Mapenzi yake na PFunk yalikua na mambo mengi ambayo niliyauliza kwenye episode hii ya 35, walikutanaje, waliendeleaje, wazazi, Paula na pengine watu wengine kuhusika na mapenzi yao hayo. Aliniambia mwisho wa siku ilibidi afanye liwezekanalo ili aweze kutoka humo na maisha yaendelee na akafanikiwa kukutana na mtu mwengine Ila na kwake naye mambo hayakua matamu kama ambavyo yalianza. Yaliisha kwa machozi na chuki ambayo anadhani iko upande
wa pili zaidi maana kwake maisha yamesogea na maombi yake ya kuanza upya yamebarikiwa.

Kajala amepitia mambo mengi kwenye maisha yake ambayo mengine anajivunia na mengine siyo hata kidogo. Kama kawaida, yangu matumaini utaokota mawili matatu humu na ambayo pia kama nia na madhumuni yatakufanya ushangae na kujifunza mwisho wa siku. Tafadhali enjoy!

Love,
Salama.

Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...  

Follow:
Twitter:   / yahstonetown  
Instagram:   / yahstonetown  
Facebook:   / yahstonetown  

Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 2

Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 2

BEHIND THE GRAM EP 18 : MAISHA YA KAJALA NA PAULA

BEHIND THE GRAM EP 18 : MAISHA YA KAJALA NA PAULA

Salama Na Jokate Ep 3 | KAMISHNA Part 1

Salama Na Jokate Ep 3 | KAMISHNA Part 1

WAANDISHI WA HABARI WAMKABIA JUU WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NA MASWALI MAGUMU

WAANDISHI WA HABARI WAMKABIA JUU WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NA MASWALI MAGUMU "MNAFICHA NINI?"

SALLAM SK : SAFARI YA MAISHA NA DIAMOND PLATNUMZ / UMILIKI WA RADIO/CHUKI /UWEZO WA KUFANYA KAZI

SALLAM SK : SAFARI YA MAISHA NA DIAMOND PLATNUMZ / UMILIKI WA RADIO/CHUKI /UWEZO WA KUFANYA KAZI

PART 2: DJ SMAA AICHAMBUA RIPOTI YA CNN INA UKWELI na UONGO HUU..

PART 2: DJ SMAA AICHAMBUA RIPOTI YA CNN INA UKWELI na UONGO HUU..

NYUMBANI KWA MAMTEI SHANI WA KOMBOLELA/MIMI SIFAKE MAISHA/NAUZA CHAKULA KILA SIKU

NYUMBANI KWA MAMTEI SHANI WA KOMBOLELA/MIMI SIFAKE MAISHA/NAUZA CHAKULA KILA SIKU

OUR FIRST YOUTUBE VIDEO ( introduction video) GET TO KNOW US

OUR FIRST YOUTUBE VIDEO ( introduction video) GET TO KNOW US

Salama Jabir: Hawezi kutoka bila kupaka make up / Mwana FA / AY / Tunagombana kila siku

Salama Jabir: Hawezi kutoka bila kupaka make up / Mwana FA / AY / Tunagombana kila siku

Maisha Ya Zuchu Kabla Ya WCB :

Maisha Ya Zuchu Kabla Ya WCB : "Nilitaka Kuwa Mwanasheria" | SALAMA NA ZUCHU PART 1

Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1

Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1

PAULAH - SIPENDI MAKEUP MIMI MZURI | NATAMANI KUOLEWA, SHULE BAADAE | NAMHESHIMU KAJALA | LEOTENA

PAULAH - SIPENDI MAKEUP MIMI MZURI | NATAMANI KUOLEWA, SHULE BAADAE | NAMHESHIMU KAJALA | LEOTENA

MAJUTO YA DIANA KIMARI, KUJISOMESHA TOKA LA TANO, KUPIGWA CHUPA YA USO, KUTOPENDA WANAUME

MAJUTO YA DIANA KIMARI, KUJISOMESHA TOKA LA TANO, KUPIGWA CHUPA YA USO, KUTOPENDA WANAUME

ELIZABETH MICHAEL: MAISHA YA JELA / KIFO CHA KANUMBA / NDOA NA MAJEY / NDOTO ZA UTAJIRI - EXCLUSIVE

ELIZABETH MICHAEL: MAISHA YA JELA / KIFO CHA KANUMBA / NDOA NA MAJEY / NDOTO ZA UTAJIRI - EXCLUSIVE

BEHIND THE GRAM EP 7:  MAISHA YA KAJALA NA PAULA

BEHIND THE GRAM EP 7: MAISHA YA KAJALA NA PAULA

BSS 2024 SE15 EP02 MWANZA | FULL SHOW

BSS 2024 SE15 EP02 MWANZA | FULL SHOW

Posh Queen: Harmonize, Ananifanya nachangikiwa! Namuwaza! Napenda HELA, Nasafiri kila mwezi. Party 1

Posh Queen: Harmonize, Ananifanya nachangikiwa! Namuwaza! Napenda HELA, Nasafiri kila mwezi. Party 1

MASWALI NA MAJIBU MAZITO KWA MASOUD KIPANYA KWENYE KASRI | ATAJA UTAJIRI WAKE

MASWALI NA MAJIBU MAZITO KWA MASOUD KIPANYA KWENYE KASRI | ATAJA UTAJIRI WAKE

PAULA KAJALA AFUNGUKA KUFUNGA NDOA NA MARIOO MAMA AMEKUBALI NIBADILI DINI/KUMPIA MTOTO KIBAO MARIOO.

PAULA KAJALA AFUNGUKA KUFUNGA NDOA NA MARIOO MAMA AMEKUBALI NIBADILI DINI/KUMPIA MTOTO KIBAO MARIOO.

WEMA SEPETU KAELEZA KWANINI HATOMSAMEHE KAJALA

WEMA SEPETU KAELEZA KWANINI HATOMSAMEHE KAJALA

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]