Vijana wa Kijerumani wakikicharaza Kiswahili
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2022-07-20
Просмотров: 4632
Ukiwa Ujerumani au maeneo tofauti ya Ulaya usimsengenye wala kumsema ndivyosivyo mwenyeji kwa Kiswahili. Idadi ya wazungumzaji wa lugha hiyo inaongeze sana. Sudi Mnette ameweka kijiwe na vijana wa Kijetrumani na kuzungumza nao Kiswahili katikati ya jiji la Cologne, tazama vidio.#Kurunzi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: