Hatma ya vita ya Ukraine na mustakabali wa maeneo yaliyoshikiliwa na Urusi
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-12-10
Просмотров: 3128
Mpango wa Marekani wa kusitisha vita inayoendelea nchini Ukraine bado haujazaa matunda kwani baadhi ya vipengele vilivyowekwa kwa Ukraine havijakubalika na taifa hilo ili kusitisha vita. Je, mustakabali wa vita vya Ukraine ni upi? Unagana na mchambuzi wa masuala ya kimataifa, Ibrahim Rahbi akieleza zaidi.
#AzamTVUpdates
Imeandaliwa na Juliana James
Mhariri | @claud_jm
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: