Mambo 10 ya kuzingatia kabla ya kuja kujutia maishani – SIRI AMBAZO WENGI HUZIGUNDUA BAADAE
Автор: MWANGA WA JAMII
Загружено: 2025-11-25
Просмотров: 537
“Watu wengi huamka miaka ya baadaye na kusema… ‘Laiti ningejua mapema.’
Haya ndiyo mambo 10 ya ukweli ambayo yakikupita bila kuyafuata, utayajutia baadaye.
Chagua nidhamu, linda afya, tumia muda vizuri na acha kupoteza nguvu kwa watu wasio na tija.
Kila hatua unayochukua leo, ndiyo inajenga maisha yako ya kesho.
Jifunze sasa — kabla haijachelewa.”
#Maisha #Mafanikio #MotivationSwahili #LifeLessons #millionaire#inspiration#elimu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: