HUSTLE FROM CHUO TO STREET
Автор: Story Yangu
Загружено: 2025-12-23
Просмотров: 849
Jackline, maarufu kama “JACKLI”, ni digital creator mwenye shahada ya B.A in Mass Communication. Safari yake ni ushuhuda wa jinsi elimu inavyokutana na uhalisia wa maisha ya mtaani.
Kutoka kuwa content creator, influencer, hadi entrepreneur kupitia @kii_trends_store, Jackline anaonyesha kuwa hustle haianzi wala kuishia darasani bali inaendelea mtaani kwa vitendo, ubunifu na uthubutu.
Hii ni story ya kujituma, kujitambua na kujijengea njia yako mwenyewe.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: