Balozi wa Maji Mkoa Tanga Ndg:Habibu Mbota (Mojakwamoja) Ametimiza ahadi ya kuwajengea nyumba watoto yatima 6 walioachwa na Wazazi
Hatua hii aliichukua baada ya kupokea taarifa Toka Kwa Mwenyekiti wa Mtaa Huo Ndg Amri Zuberi Na Hivyo akabeba jukumu kusaka wadau huku yeye akichukua 70% Za Ujenzi wa jengo hilo huku Wadau wakishika 25% Akiwemo Mh Batilda Burian Mkuu Wa Mkoa Wa Tanga na Wadau wengine na 5% Ikiwa ni nguvu kazi ya Wananchi kuchimba msingi
Hata Hivyo Leo Katika Makabidhiano akajitokeza Mdau bi Kadodo Maghadi nae akatoa vitanda na magodoro Wakati Yote Haya Yakijiri Mtaa wa Zizini kata ya Chanika Handeni Mji ikiwa Ni Sehemu ya kutimiza maamrisho ya Mwenyezi Mungu Ya Kuwatendea Wema Mayatima Pamoja na Kuunga Mkono jitihada za Dkt Samia kuruhusu wadau kuendelea kuisaidia Jamii Pia Ndg Habibu Mbota (Moja kwa moja) Amewashukuru wote walioguswa katika hili kwa hali na Mali
Mwisho Ndg Habibu Mbota Ametoa Wito kwa Wadau Na Matajiri Kukumbuka Fadhila za Mwenyezi Mungu Kwa Kuwapa Mali na Pesa Hivyo Walipe Fadhila Hizo kwa Kuwashika Mkono na Kuwasaidia wenye Uhitaji,Pia Amewashukuru Khairiyya online Tv Na TangaOneTv kwa Kufika Kwa Wakati Eneo La Tukio kwani Matukio Kama Haya Ni Lazima yahifadhiwe na Yasambae ili iwe ni Hamasa kwa Wengine
Kwa Habari zaidi
Subscribe
@KHAIRIYYAONLINETV
na @TANGAONEONLINETV
mawasiliano
0622166959
Поделиться в:
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
Информация по загрузке:
Скачать аудио mp3
Похожие видео
array(10) {
[0]=>
object(stdClass)#4363 (5) {
["video_id"]=>
int(9999999)
["related_video_id"]=>
string(11) "ZOVHzJEjL-A"
["related_video_title"]=>
string(94) "Касьянов. Чем Путина напугала атака Израиля на Иран"
["posted_time"]=>
string(21) "3 часа назад"
["channelName"]=>
string(29) "Телеканал Дождь"
}
[1]=>
object(stdClass)#4336 (5) {
["video_id"]=>
int(9999999)
["related_video_id"]=>
string(11) "FC_okB7LORc"
["related_video_title"]=>
string(152) "❗7 МИНУТ НАЗАД: США вступили в бой! Американцы сбивают иранские ракеты над Израилем"
["posted_time"]=>
string(21) "4 часа назад"
["channelName"]=>
string(10) "УНІАН"
}
[2]=>
object(stdClass)#4361 (5) {
["video_id"]=>
int(9999999)
["related_video_id"]=>
string(11) "4yXJ8loYUHI"
["related_video_title"]=>
string(118) "Министра обороны выгнали с позором / Режим готовится к революции"
["posted_time"]=>
string(24) "11 часов назад"
["channelName"]=>
string(10) "NEXTA Live"
}
[3]=>
object(stdClass)#4368 (5) {
["video_id"]=>
int(9999999)
["related_video_id"]=>
string(11) "ToOXpLtnD1c"
["related_video_title"]=>
string(79) "Арестович: В чем просчитался Трамп? @borovonovodvo"
["posted_time"]=>
string(21) "4 часа назад"
["channelName"]=>
string(17) "Alexey Arestovych"
}
[4]=>
object(stdClass)#4347 (5) {
["video_id"]=>
int(9999999)
["related_video_id"]=>
string(11) "Rarj8dSARDc"
["related_video_title"]=>
string(67) "Hotuba ya Sheikh Ponda Mwembeyanga Asisitiza Suala la Haki Tanzania"
["posted_time"]=>
string(19) "1 час назад"
["channelName"]=>
string(10) "The Chanzo"
}
[5]=>
object(stdClass)#4365 (5) {
["video_id"]=>
int(9999999)
["related_video_id"]=>
string(11) "RKP9CL-O8dc"
["related_video_title"]=>
string(93) "Иран ответил на атаку Израиля: удары по всей стране"
["posted_time"]=>
string(23) "8 часов назад"
["channelName"]=>
string(18) "The Breakfast Show"
}
[6]=>
object(stdClass)#4360 (5) {
["video_id"]=>
int(9999999)
["related_video_id"]=>
string(11) "dGzPVz-Ye14"
["related_video_title"]=>
string(101) "YAA RASULALLAH | SHARIFU IBRAHIM BIN SHARIFU HUSSEIN BADAWIY & KASSIM ABDALLAH | DIRECTOR BABDEO"
["posted_time"]=>
string(23) "1 месяц назад"
["channelName"]=>
string(19) "KHAIRIYYA ONLINE TV"
}
[7]=>
object(stdClass)#4370 (5) {
["video_id"]=>
int(9999999)
["related_video_id"]=>
string(11) "rqcwYyyI0ZI"
["related_video_title"]=>
string(176) "РУСТАМЗАДЕ: "Это было сюрпризом. Путин изменил тактику войны". Новое наступление, разгар, F-16, КАБы"
["posted_time"]=>
string(24) "11 часов назад"
["channelName"]=>
string(24) "И Грянул Грэм"
}
[8]=>
object(stdClass)#4346 (5) {
["video_id"]=>
int(9999999)
["related_video_id"]=>
string(11) "xZhFR75IzOE"
["related_video_title"]=>
string(146) "Яков Кедми: Сблъсъкът между Израел и Иран няма да доведе до Трета световна война"
["posted_time"]=>
string(21) "4 часа назад"
["channelName"]=>
string(21) "Поглед Инфо"
}
[9]=>
object(stdClass)#4364 (5) {
["video_id"]=>
int(9999999)
["related_video_id"]=>
string(11) "BxIgrFWHfOU"
["related_video_title"]=>
string(100) "BUSATI LA HAULI LAIBUA JAMBO JIPYA | "NILITIA MKASI KASWIDA YA UST JUMA MPAKA HII NDIO TUMEIPITISHA""
["posted_time"]=>
string(21) "1 день назад"
["channelName"]=>
string(19) "KHAIRIYYA ONLINE TV"
}
}