CHEKECHE | Mazungumzo ya Mohammad Bin Salman na Rais Donald Trump na 'Utata wa yaliyojadiliwa'
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-11-22
Просмотров: 6314
Baada ya ziara ya Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia, Mohammad Bin Salman kwenye Ikulu ya Marekani alipofanya mazungumzo na Rais Donald Trump huku baadhi ya yaliyozungumzwa ikiwemo sakata ya mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi ya mwaka 2018 yakizua maswali zaidi badala ya majibu.
Chekeche inaangalia baadhi ya maeneo yaliyoangaziwa na mazungumzo hayo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: