#live
Автор: DIOCESE OF MUSOMA
Загружено: 2025-12-17
Просмотров: 1062
Adhimisho la Misa Takatifu ya kutolewa kwa Daraja Takatifu la Upadre kwa shemasi Ambrose Joseph Magoko, CP katika kigango cha Gamasara Parokia ya Tarime. Adhimisho la Misa Takatifu limeongozwa na Baba Askofu Michael Msonganzila, Askofu wa Jimbo Katoliki la Musoma.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: