MAAJABU YA KAOLE-BAGAMOYO
Автор: Otang Production
Загружено: 2022-05-13
Просмотров: 2648
Mti unaoongeza siku za kuishi!!
Kaole, mji mdogo wa Kihistoria maili nne mashariki mwa Bagamoyo, ni makazi ya kale (1250) yenye historia kubwa na maajabu mengi.
Kuna kisima cha ajabu, makaburi ya watu waliokuwa na vipawa, mti wa ajabu, bandari ya mwanzo, msikiti wa kwanza, na vitu vingine vingi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: