RAIS SAMIA AMUAGIZA DAKTARI HOSPITALI YA MWANANYAMALA "AWAREKEBISHE WAKISHINDWA TUWAONDOE"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-06-01
Просмотров: 93362
Rais Samia pia amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Wilayani Kinondoni ambapo pamoja na kupokea maelezo ya Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo Dkt. Zavery Peter Benela amewatembelea wagonjwa wanaopatiwa matibabu ya nje na waliolazwa wodini.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: