Mbarikiwa katika wimbo wa Kimasai Ashee ashe papa lai
Автор: NJIA ILIYO NJEMA MEDIA - YER 6:16
Загружено: 2020-10-08
Просмотров: 35293
Baada ya channel ya Mbarikiwa mwakipesile ya youtube kufungwa, sasa unaweza kuzipata video zake za zamani kwa kupitia channel zifuatazo.
1. Alex Tewele ... / @realpentecostal-media
2. Zawadi blandine ... / @zawadiblandine
3. Helbeth Mlelwa ... / @pastorhelbethmlelwa
Mahubiri ya sasa ya Mbarikiwa Mwakipesile yanarushwa kupitia channel ya Kikosi kazi cha injili ... / @mbarikiwa_mwakipesile
Pia ibada zinarushwa live (mubashara) katika mtandao wa facebook. Ingia facebook na tafuta mbarikiwa mwakipesile au bonyeza maandishi haya / salome.mwampeta.5
KWA KILA CHANNEL ILIYOANDIKWA HAPO JUU. NI VYEMA KAMA UTASUBSCRIBE ILI UWEZE KUPATA TAARIFA ZAIDI.
NEEMA YA KRISTO YESU, IWE PAMOJA NAWE. AMEN
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: