Nyumba ya NHC yenye maduka 7 yateketea kwa moto mtaa wa Sokoni - Singida.
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2013-01-03
Просмотров: 1977
Nyumba ya shirika la nyumba la taifa NHC iliyokuwa na maduka saba katika mtaa wa sokoni manispaa ya singida yameteketea kwa Moto baada ya moto kuzuka katika moja ya maduka hayo .
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: