JINSI YA KUFUTA MAJINA YALIYOJIRUDIA KWENYE EXCEL| HOW TO REMOVE DUPLICATES IN EXCEL
Автор: Mwalimu Bassu
Загружено: 2020-08-06
Просмотров: 794
Karibu katika Group letu la ELIMU YA KOMPYUTA Bure
BOFYA KATIKA LINK HAPA CHINI
https://chat.whatsapp.com/Gb9VZRlTIGr...
==
Jinsi ya kufuta MAJINA YALIYOJIRUDIA kwenye EXCEL || How to REMOVE DUPLICATES in Microsoft Excel
Computer imetengenezwa na kupewa uwezo wa kupokea programu mbalimbali ili iweze kutatua changamoto mbalimbali katika jamii.
Kama umeshawahi kukutana na changamoto ya MAJINA YALIYOJIRUDIA RUDIA katika Orodha yako uliyoiandaa kwa matumizi mbalimbali basi tumekuletea suluhisho.
Hata kama hujawahi kukutana na changamoto hiyo, nakushauri na kukukaribisha ujifunze ili jambo hilo lisije kuwa changamoto kwako …
Katika Video Tutajifunza “JINSI YA KUFUTA MAJINA YALIYOJIRUDIA KATIKA EXCEL”.
Hapa nimetumia mfano wa majina ya wafugaji wa ng’ombe wa maziwa, lakini njia hii inafanya kazi kwa majina yoyote,
LINK:
#Mwalimu_Bassu #ELIMU_YA_KOMPYUTA_BURE #Majina
VIDEO ZINGINE ZA MWALIMU BASSU
KARIBU Katika Somo la Kwanza Tujifunze “COMPUTER HARDWARE kipengele cha INPUT DEVICES”.
LINK: • SOMO LA KWANZA | Computer Hardware | INPU...
KARIBU Katika Somo la Pili Tujifunze “COMPUTER HARDWARE kipengele cha CPU”.
LINK: • Somo la Pili | Computer Hardware | CPU
Jinsi ya Kuandika NUKUU kwenye Picha kwa Photoscape | How To Write QUOTES on a Picture by Photoscape
LINK: • Jinsi ya Kuandika NUKUU kwenye Picha kwa P...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: