TOP SUICIDES💔 ONA HII HATARI INAYOENDELEA KIMYA KIMYA 😢HUMPATA YOYOTE | Fahamu Uwe Salama -Dr. Kweka
Автор: Hub of Wisdom Inc.
Загружено: 2025-08-25
Просмотров: 4535
Utacheka laikinii utahuzunika sana kusikia visa vya kweli vinavyogusa maisha ya watu wengi. Lakini pia utajifunza suluhu ya haya yote.
Katika video hii, Dkt. Garvin Kweka anazungumzia kwa undani kuhusu:
✅ Top 5 aina ya watu wanaoongoza kujiua
✅ Sababu kuu zinazochangia msongo wa mawazo na matatizo ya afya ya akili
✅ Emotional Intelligence na nafasi yake katika kushinda changamoto za ndani
✅ Suluhu na njia za kusaidia kupunguza hatari ya kujiua
👉 Video hii si ya kukutia hofu, bali ni mwongozo wa kuelewa, kugundua mapema ishara na kutafuta msaada.
🌍 Afya ya akili ni jambo muhimu kwa kila mmoja wetu. Hebu tujadili, tusaidiane na tufanye dunia iwe salama zaidi kwa kuelimishana.
📌 Kumbuka: Ikiwa wewe au mtu unayemfahamu anapitia mawazo ya kujiua, tafadhali tafuta msaada mara moja kutoka kwa wataalamu wa afya ya akili au piga namba za dharura zilizo karibu nawe.
🔔 Usisahau Subscribe kwa ajili ya video zaidi za maarifa na suluhu.
👍 Like, 💬 Comment na 📤 Share ili ujumbe huu uwafikie wengi.
#AfyaYaAkili #EmotionalIntelligence #MentalHealthAwareness #DktGarvas
👉 Tazama hadi mwisho na usisahau KUSUBSCRIBE H.W TV kwa kugusa alama ya kengele kwa maudhui zaidi ya mafunzo, hamasa na mbinu za kuboresha maisha yako kila leo!
💬 Tunathamini maoni yako. Jiunge na mjadala na ushiriki nasi katika mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au tembelea www.hubofwisdom.com/media
⚠️ Angalizo: Maudhui haya yamelenga kutoa elimu ya jumla kwa jamii pana. Ni jukumu la mtu binafsi kufanyia kazi mbinu zinazoendana na muktadha wake.
#Afya #Akili #Mahusiano #Dr #Garvin #Kweka #Muhimbili #Saikolojia #thewisetz #wisdom #Tanzania #Kenya #Zanzibar #Congo #Rwanda #Upendo #WanawakeWenyeThamani #NidhamuYaMahusiano
#Stress #MaumivuYaNafsi #AfyaYaAkili #Kazi #Mahusiano #Maisha
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: