Maandalizi ya mazishi ya Papa Francis, katika Dira ya Dunia TV
Автор: BBC News Swahili
Загружено: Последняя трансляция состоялась 18 часов назад
Просмотров: 14 561 просмотр
Makadinali wanakutana huko Vatican kwa ajili ya maandalizi ya mazishi ya Papa Francis, aliyefariki Jumatatu ya Pasaka akiwa mwenye umri wa miaka 88. Vatican imethibitisha kwamba alipatwa na kiharusi kilichosababisha matatizo ya moyo.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: