Kunga za Waganga 2
Автор: NTV Kenya
Загружено: 2013-01-05
Просмотров: 41871
Sasa tuigeukie makala maalum ya uchawi na ushirikina na leo tunajikita kwenye vifaa wanavyotumia waganga. Jee ni kwa nini waganga hutumia kioo cha Biblia katika shughuli zao? Jibu kamili liko kwenye sehemu ya pili ya makala ya kunga za waganga iliyoandaliwa na Daniel Mule.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: