Shabiby Afunguka Mazito Bungeni | Aeleza Ukwepaji Kodi Kwenye Mafuta | Spika Ndugai Amuunga Mkono
Автор: CLOUDSMEDIA
Загружено: 2019-06-18
Просмотров: 1455
Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby amesimama bungeni kuchangia hotuba ya ya bajeti kuu ya serikali ambapo ameeleza kwa kina mambo mbalimbali ikiwemo namna ambavyo wafanyabiashra wa mafuta wanakwepa kodi kutoka na mfumo wa EFD, wafanyabiashara wa usafirishaji kukimbilia nchi za jirani n.k.
Tazama hapa
#KutokaBungeni #CloudsDigitalUpdates #Shabiby
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: