✨ NYIMBO ZA UPONYAJI Zitakazogusa Moyo Wako 🤍 | Powerful Healing Gospel Mix 2025| Sounds of Zion
Автор: Sounds of zion
Загружено: 2025-09-12
Просмотров: 17716
Karibu usikilize nyimbo za uponyaji zitakazogusa moyo wako na kukupa amani ya kiroho. Hii ni mchanganyiko wa nyimbo bora za ibada na sifa zinazobeba nguvu za Mungu kwa uponyaji wa moyo, nafsi na mwili.
Nyimbo hizi za Kikristo zitakutia moyo, kukuimarisha, na kukuletea tumaini jipya. 🎶
🙏 Tafuta amani na uponyaji kupitia muziki wa kiroho.
🔔 Usisahau ku-subscribe kwa nyimbo zaidi za injili, ibada na sifa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: