Makubwa yaliyojiri bajeti ya Wizara ya Uchukuzi, Mbarawa atumia dakika 45, aomba Sh2.7 trilioni
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-05-06
Просмотров: 2093
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ameliomba bunge lipitisha bajeti ya wizara hiyo kiasi cha Sh2.7 trilioni.
Mbarawa ameomba hayo leo Jumatatu, Mei 6, 2024 wakati akisoma bajeti ya Wizara yake Bungeni ambapo ameeleza kuwa miongoni mwa yatakayofanyika kwenye bajeti hiyo ni maboresho ya sera, sheria na kanuni za kisekta
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: