DC KILWA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025
Автор: KilwaDC TV
Загружено: 2025-10-28
Просмотров: 42
Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Mhe. Mohamed Nyundo akizungumza na Viongozi wa serikali za Mitaa wakiwemo Wenyeviti wa Vitongoji, Vijiji, Watendaji, Viongozi wa dini na Wazee Maarufu akiwataka kuhamasisha wananchi waliopo katika maeneo yao kujitokeza kwa wingi katika Zoezi la kupiga kura ifikapo 29 Oktoba 2025.
Huku akiwatakikisha uwepo wa Amani na Utulivu Wilayani humo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: