TAZAMA JIKO LINALOTUMIA KOKOTO, MATOFALI KUWASHA MOTO, ALIYELIBUNI AFUNGUKA
Автор: Wasafi Media
Загружено: 2022-04-21
Просмотров: 7557
TAZAMA JIKO LINALOTUMIA KOKOTO, MATOFALI KUWASHA MOTO, ALIYELIBUNI AFUNGUKA
Leo April 21 ni Siku ya Ubunifu Duniani,Kutana na Kijana aliyebuni Jiko Linalotumia Kokoto na Matofali kuwasha Moto na Kupikia Vyakula Mbalimbali.
Ni Kijana Mtanzania Mwenye Umri wa Miaka 42 na ni Baba wa Watoto Watano,Alikatiza Masomo Kutokana na Hali ngumu ya Maisha na Kujielekeza kwenye Ubunifu.
Elimu yake ya Darasa la Sita Kamwe Haikuwa Kikwazo kwenye Ubunifu,Amefanikiwa Kubuni Jiko Sanifu linalotumia Kokoto na Vipande vya Matofali ya Kuchoma.
Je ni nani Huyo Fuatilia Simulizi hii.
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: