WITO WA UISLAMU JUU YA KUWA NA MAHUSIANO MAZURI NA NAFSI, WATU NA MWENYEZI MUNGU.
Автор: Kituo Cha Kiislamu Cha Kimisri
Загружено: 2022-05-21
Просмотров: 59
Khutba ya Ijumaa tarehe 13/5/2022 kwenye msikiti wa Nour Mohammed, kisiwani Unguja, Zanzibar kuhusu mada ya: "Uislamu watoa wito kwa kuwa na mahusiano mazuri na nafsi, watu na Mwenyezi Mungu" imetolewa na Mheshimiwa Profesa/ Usama El-Sayed Al-Azhary, mshauri wa Rais wa Misri kwa masuala ya kidini na profesa wa Hadithi za Mtume katika Chuo Kikuu cha Al-Azhar, Misri
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: