MARIAMUN ILM DHET: MARIA ALIMZAA MWANA
Автор: Good Shepherd Catholic Choir, North Horr
Загружено: 2026-01-03
Просмотров: 364
Yesu alizaliwa Bethlehemu na Bikira Maria kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Alizaliwa katika unyenyekevu na kulazwa katika hori kwa sababu hapakuwa na nafasi katika nyumba ya wageni. Kuzaliwa kwake kulitimiza ahadi ya Mungu ya kumleta Mwokozi wa wanadamu, na malaika waliwatangazia wachungaji habari njema za furaha kuu kwa watu wote.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: