Fahamu jinsi ya kufanya kilimo cha ZABIBU na maeneo inapostawi Tanzania; Kwanini hailimwi Mbeya?
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-08-07
Просмотров: 3471
Zabibu ni miongoni mwa mazao maarufu sana hasa kwa utengenezaji wa mvinyo, na kwa hapa nchini Tanzania Mkoa wa Dodoma ni maarufu zaidi kwa kilimo cha zao hili.
Leo nimekukutanisha na Mtafiti wa Kilimo kutoka Tari Makutupora jijini Dodoma, Dk Andekelile Mwamahonje ambaye anafundisha jinsi ya kufanya kilimo hiki na kueleza maeneo ambayo yanafaa kwa kilimo cha zabibu na kwanini halilimwi maeneo yenye baridi na mvua nyingi kama Mbeya na kwingineko.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: