"ONGEA NA MWANAO" TAHADAHARI MAANDAMANO D9 POLISI WATOA MSIMAMO
Автор: TMC NEWS TV
Загружено: 2025-12-03
Просмотров: 1971
Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania, David Misime, ametoa tahadhari kwa umma kuhusu mpango wa baadhi ya vijana wa kizazi cha Gen Z kuandamana tarehe 9 Desemba 2025. Misime amesema kuwa Jeshi la Polisi limejipanga kikamilifu kuhakikisha usalama wa raia na mali umelindwa.
Wananchi wametakiwa kuepuka maeneo yanayotarajiwa kuwa na mikusanyiko isiyo rasmi na kushirikiana na maafisa wa polisi ili kupunguza hatari yoyote na kuhakikisha usalama kwa kila mmoja.
#Tanzania #Polisi #Maandamano #GenZ #Usalama #HabariZaTanzania #December9#tmcnews565
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: