🎥SAL MEDIA. MSIFUNI YESU MWOKOZI-
Автор: SAL MEDIA
Загружено: 2025-11-23
Просмотров: 225
Karibu utazame na kusikiliza wimbo Bwana Msifuni Yesu Mwokozi ukiimbwa na Utume wa Kwaya Katoliki Tanzania( UKWAKATA) wa Parokia ya Bikira Maria wa Fatima, Jimbo Katoliki Geita, wakati wa Misa Takatifu ya Sherehe ya Yesu Kristo Mfalme Parokiani hapoMisa Takatifu imeadhimishwa na Padre Daud Majala Paroko Msaidizi wa Parokia ya Bikira Maria wa Fatima Jimbo Katoliki Geita.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: