Ukuaji na Maendeleo ya Mtoto akiwa Tumboni kwa Mjamzito mwenye Mimba Changa (Miezi mitatu ya Mwanzo)
Автор: HASCAVELA
Загружено: 2025-09-27
Просмотров: 2232
Video hii imeelezea hatua mbalimbali za ukuaji ambazo mtoto anazozipitia akiwa bado yupo Tumboni kwa mama yake kwenye Mimba Changa (Miezi mitatu ya mwanzo ya ujauzito).
Mimba ya Mwezi mmoja (1).
Mimba ya Miezi miwili (2)
Mimba ya Miezi mitatu (3)
Na Dalili za Mimba Changa.
Toka kukutana kwa Yai la mama na Mbegu za baba na seli hizo kugawanyika mpaka kuanza kutengeneza viungo vya mtoto tumboni kwa mama.
Endelea kufuatilia channel yetu @hascavela Kwa video za mafunzo mbalimbali kuhusu Sayansi na Teknolojia.
Pia unaweza kutufuatilia kwenye mitandao yetu ya kijamii
Facebook 👉 / hascavela
Instagram 👉 / hascavela
TikTok 👉 / hascavela
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: